Kufuatia ziara za mgombea mwenza mikoa ya kusini Lindi na Mtwara asubuhi ya leo amekutana na kizingiti baada ya kushindwa kutoa ufafanuzi nani awe mgombea kupitia UKAWA baada ya CHADEMA na CUF kila mmoja kusimamisha mgombea jimboni hapo.
CHADEMA imemsimamisha Ndg Selemani Methew Luwongo ambaye alikosa nafasi hiyo kupitia CCMna wakati huo huo Chama cha Wananchi CUF kimemsimamisha ndg Isihaka Mchinjita.
Hali hiyo imejitokeza leo asubuhi wakiwa kwenye vikao vya ndani ambapo wagombea Ubunge kila mmoja yeye anaweza kupambana na Nape, kwenye mkutano uliofaonyika baada ya vikao vya ndani Duni Hajji alishindwa kumtangaza mgombea kupitia UKAWA hali ambayo imepelekea kuwagawa watu wa Ukawa kuhusu nani wampigie Kura oktoba Kati ya hao wawili.
Hali hii ikiendelea namuona Nape akichukua jimbo kabla ya saa mbili asubuhi.
Nb: Jimbo la Mtama lipo chini ya CUF kwenye mgawanyo wa majimbo wa UKAWA.