dumisha ndoa yako ee mwana chitchat

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
[SUP]

hahahahahahaahahh wanawake wachit chat mwaka mupya hii ,haya sasa inasemekana ndoa nyingi za cc zinadumu sababu ya hiyo hapo juu hahahahaahah amu charminglady cacico lara 1 madame b marejesho Zion Daughter Giles Amyner Kipipi Remmy Zinduna na wadada wengine wa cc semeni ukweli hii maneno nasikia imewakuta sana picha inajieleza watu hawa tulieni kimya wamoyo nimewataja hapo juu nasubiri kura ya huyu anafanyiwa hivi au la hahahaah Arushaone watu8 KakaKiiza Erickb52 Chimbuvu Bujibuji Filipo Bishanga Asprin manoah
hahahah nimecheka sana
copy KakaKiiza
Baba V Bishanga Mtambuzi
KIFAA HICHO NINAKIUZA KWA BEI NAFUU SANA KARIBUNI NAPOKEA ODA NAKUKOPESHA PIA
[/SUP]
 

Attachments

  • 206021_515417798503421_1659695807_a.jpg
    7.8 KB · Views: 169
Napika uji wangu wa kungu, nitarejea!
 
una biashara ya kuuza mishikaki ya korodani???
 
Kila penye tatizo ufumbuzi lazima upatikane, namuona ODM ana boostiwa ili afanye ukaguzi
 
napika uji wangu wa kungu, nitarejea!
sema shost huyu babu Asprin amekitumia mara ngapi vile kwa mwaka maana alivo na wake lukuki lazima charge iishe hahahaahah nimecheka sana leo cacico
 
Last edited by a moderator:
ai ai ai ai iiiiiiiiiiiiiiii naitaka hiyo nimkomeshe mtu wangu umesema sh ngapi vile za ki tanzania
 
ai ai ai ai iiiiiiiiiiiiiiii naitaka hiyo nimkomeshe mtu wangu umesema sh ngapi vile za ki tanzania
nitakupm ubust shost safi sana anakuja ameshattumika anasema hawezi kazi na wewe unahitaji aahhh chukua kifaa chako anza boosting process
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…