Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
Siku tatu ni nyingi sana hizo mkuu, yakhe kule kwetu wataka leo wapata leo.
Tanzania - Remmy Ongala - Mariam - YouTube
Mabinti wa Kitanzania kwa kupenda ubwete ukiwa umependeza tu na unausafiri wako unaouwezo wa kuwabadili kadiri unavyo taka.
hapo walikutana changudoa na mshihiri(mchawi)................
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

Hahahaaa... Yani they open their legs faster than google home page...lol
Siku ya tatu tu ukamzawadia tundaaa...!
Ni wa jeshi gani?haaaa umeitoa wapi hii nakumbuka 9 december pale uwanja wa uhuru pared huyu jamaa alikuwepo
Raha ya maharage yachemshwe siku nzima! La sivyo hata mkaa wake uwe na budget tofauti basiwe unataka maharage ya wapi? mwache mwenzio afurahi bwana loh
Shost wee pole!next time papasa kila kona before hujavua pi..chu!!