Dume zima na hirizi kiunoni

Hahah,, lakini show kaisimia vilivyo kwa msaada wa hirizi
 
we baki unajisifia eti umemkimbia na yeye anajisifia ashakupitia so ni mbwa kala mbwa
 
ukisia jamaa ana kizizi kwani kakupataje kwa mda huo huo,bila BUSTA au POWER benk mjini wadada wazuri utawasikia
 
Ila umeliwa.. ila wanawake bana usikute ile pafyum tu ww tayari ushalainika mmezidi kwa kuwa wepesi.. mi napenda sasa demu asumbuesumbue kidogo mtu hata hamjajuana vyema ushatoa papuchi
 
mmekutana msiojielewa. wewe huachi fursa za kuhongwa naye anatafuta za kuhonga hata kwa damu. usikimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…