daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Jamani jana nilitumiwa e-mail kutoka Duma tours kuwa nahitajika jumamosi saa tatu asubuhi Arusha au Dar kwenye ofisi zao lakini wakata elfu kumi kama uthibitisho wangu kama nitaenda ili wawe na uhakika nikalipa via no 0659735483 baada ya hapo nitumiwe confirmation link. Chakusangaza sijatumiwa nikipiga simu haipokelewi wa email haijibiwi
msaada please
msaada please
