INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
91
Reaction score
124
DUKA LA VIFAA VYA ELECTRONICS LINAUZWA KAHAMA.

LINA TV, SOUNDBAR,SABUFA, PRESSURE COOKER, RICE COOKER BLENDER,HITA ZA KUCHEMSHIA MAJI PAMOJA NA PASI.

LIKO SEHEMU YENYE MZUNGUKO WA BIASHARA, KODI YA FREMU NI LAKI MOJA.

LENGO LA KUUZA NI KUHAMA MKOA KIKAZI.

KWA MWENYE NIA NA BIASHARA HII ANAKARIBISHWA SANA.

BEI: TUTAHESABU BIDHAA ZILIZOMO KWA MUDA HUO KWA BEI YA JUMLA NDO ITAKUWA THAMANI YAKE( MAKADILIO NI M5)

PIGA SIMU: 0758161628

PXL_20241231_081106437.jpg
 
Habari, Duka lenye VIFAA VYA ELECTRONICS kama vile TV, soundbar, Sabufa, pressure cooker, rice cooker, blender LINAUZWA KAHAMA.

Makadilio ya bei ni M7 maana naendelea kuuza na kununua bidhaa mpaka pale nitakapopata mteja.
Mwenye uhitaji na biashara hii 0758161628.

View attachment 3320320
Comrade, hizi bidhaa zinafika kweli thamani ya hiyo pesa uliyo iweka! Au unataka kumuuzia mtu kwa bei ya rejareja, badala ya ile bei ya jumla uliyo nunulia hizo bidhaa!!!
 
Comrade, hizi bidhaa zinafika kweli thamani ya hiyo pesa uliyo iweka! Au unataka kumuuzia mtu kwa bei ya rejareja, badala ya ile bei ya jumla uliyo nunulia hizo bidhaa!!!
Mkuu ukija tutopiga hesabu KIMOJA KIMOJA kulingana na bidhaa itakayokuwepo Kwa wakati huo na Nitakuuzia bei Ile Ile ya kununulia Kwa jumla, maana Duka mpaka muda huu linafanya KAZI.
 
Back
Top Bottom