Black hermit JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 657 Reaction score 955 Jun 28, 2019 #1 Habari za leo wana JF naomba kuuliza ni mtaji kiasi gani utanitosha kufungua duka la vyombo vya nyumbani niko Bumbuli Tanga
Habari za leo wana JF naomba kuuliza ni mtaji kiasi gani utanitosha kufungua duka la vyombo vya nyumbani niko Bumbuli Tanga
Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,409 Reaction score 5,715 Jun 28, 2019 #2 5 - 10 ml 15ml kuendelea..kama ukihitaji kuwa na vitu vya aina tofauti na stock pana zaidi