Anaweza pia kufanya oriflame ambayo mie nafanya huku tuna uza cosmetics asilia zikiwemo bidhaa za usoni, mwilini, kichwani, makeups, perfume na n.k akiwa na 100,000 pembeni anaanza biashara, ninaposemapembeni namaanisha huenda hata asiitumie. Anajiunga na kampuni kwa 9,000 baada ya hapo ana nunua kila bidhaa moja kwa discount ya 23%.
Faida zake:
»Mtaji kidogo na hanunui bidhaa akakaanazo mkononi bali hufanya manunuzi kwa oda.
»Atapata training mbalimbali kuhusu biashara na urembo
Hayo ni baadhi tu karibuni anaweza wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0717 343635