La Pronto JF-Expert Member Mar 20, 2013 969 1,155 May 1, 2016 #1 Duka lipo kibaha maili moja town, lina mtaji wa sh milioni 3.... Kodi inaisha mwez wa saba Bei maelewano! Phone number 0712 584524
Duka lipo kibaha maili moja town, lina mtaji wa sh milioni 3.... Kodi inaisha mwez wa saba Bei maelewano! Phone number 0712 584524
La Pronto JF-Expert Member Mar 20, 2013 969 1,155 May 6, 2016 Thread starter #3 Kodi imeshalipwa... Pamoja na leseni!!
lydiah Senior Member Sep 2, 2015 151 101 Nov 10, 2016 #4 H La Pronto said: Duka lipo kibaha maili moja town, lina mtaji wa sh milioni 3.... Kodi inaisha mwez wa saba Bei maelewano! Phone number 0712 584524 Click to expand... hello vp ushapata mteja? Naitaj pia
H La Pronto said: Duka lipo kibaha maili moja town, lina mtaji wa sh milioni 3.... Kodi inaisha mwez wa saba Bei maelewano! Phone number 0712 584524 Click to expand... hello vp ushapata mteja? Naitaj pia
Capslock JF-Expert Member May 1, 2016 3,089 4,810 Nov 10, 2016 #5 lydiah said: H hello vp ushapata mteja? Naitaj pia Click to expand... Kaacha namba hapo juu..mtafute hewani
lydiah said: H hello vp ushapata mteja? Naitaj pia Click to expand... Kaacha namba hapo juu..mtafute hewani
Ngadu01 JF-Expert Member May 4, 2016 503 792 Nov 11, 2016 #7 Huo mtaji hata nusu ya hiyo m3 haijafika acha kudanganya raia
essaugervas JF-Expert Member Jun 25, 2016 580 279 Nov 11, 2016 #8 aiise dizaini kama hyo ml 3 haipo hapo
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,352 14,381 Nov 11, 2016 #9 Sasa kwanini usiliendeleze mwenyewe???.