Duka la Simu : Samsung & i Phone

Duka la Simu : Samsung & i Phone

Zipo bro. Nilishawahi kuiona Iphone 5 fake. Kwa nje ni kama yenyewe, kwenye software haina tofauti ni tecko.
Ndo maana nakwambia unaweza kupata S8 fake maana wanaweka android..ila iPhone fake hawawezi kuweka iOS,maybe waweke android
 
Ndo maana nakwambia unaweza kupata S8 fake maana wanaweka android..ila iPhone fake hawawezi kuweka iOS,maybe waweke android

Sasa ndugu ufake wa simu upo katika OS au harware pamoja na OS???

Iphone fake zipo,tena zimekaa vibaya sana ukizubaa unatandikwa mapema tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom