Duka la Simu : Samsung & i Phone

Duka la Simu : Samsung & i Phone

Joined
Sep 5, 2018
Posts
6
Reaction score
6
Tunauza simu zifwatazo
I PHONE
i phone 5 : Tshs 350,000/=
i phone 5s: Tshs 450,000/=
i phone 6 (16 GB): Tshs 550,000/=
“ (64 GB): Tshs 630,000/=
i phone 6 plus (16 GB) : 700,000/=
i phone 6 plus (64 GB) : 800,000/=
i phone 6s (16 GB) : 650,000/=
i phone 6s (64 GB) : 730,000/=
i phone 6s plus (16 GB) : 850,000/=
i phone 6s plus (64 GB) : 950,000/=
i phone 7 plus (128 GB) : 1,550,000/=
i phone 7 plus (32 GB) : 1,350,000/=

IMG_0114.JPG

Location : MAKUMBUSHO

️: 0746282234
 
Tunauza simu zifwatazo
I PHONE
i phone 5 : Tshs 350,000/=
i phone 5s: Tshs 450,000/=
i phone 6 (16 GB): Tshs 550,000/=
“ (64 GB): Tshs 630,000/=
i phone 6 plus (16 GB) : 700,000/=
i phone 6 plus (64 GB) : 800,000/=
i phone 6s (16 GB) : 650,000/=
i phone 6s (64 GB) : 730,000/=
i phone 6s plus (16 GB) : 850,000/=
i phone 6s plus (64 GB) : 950,000/=
i phone 7 plus (128 GB) : 1,550,000/=
i phone 7 plus (32 GB) : 1,350,000/=

View attachment 859878

Location : MAKUMBUSHO

️: 0746282234
Kumbe ndo ww unaouzia watu simu feki hapo makumbusho
 
Kwahy za kichina hazina imei ?
Unatakiwa kuweka tofauti ya cm za kichina na konki.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app

Makumbusho kuna zaidi ya maduka kumi ya simu, tunatoa warrant ya mwaka 1. Kama ulinunua kwetu hio s 5 yako weka warrant yetu hapa. If not ... acha kushinda kweny mitandao kuharibu biashara za watu FANYA KAZI.
 
Kuna mipumbv humu kazi yao kubwabwaja tu
Aweke hyo warrant yke humu
Wengine kazi yao kuharibu biashara za watu tu!

Ova
 
Acha ushamba wewe..ushawahi kuona wapi iPhone fake??...iPhone lazima iwe na iOS

Mkuu tembea utashangaa na roho yako,juzi nilikuwa natafuta 6 plus,hamad nikakutana na 7 plus copy.aisee kama ndio umeshika iphone kwa mara ya kwanza unatoa hela.ajabu jamaa yuko serios,eti hiyo leta laki saba.nikamwambia nashukuru.

Muhimu ni kwenda kwa watu wanaoeleweka kama huyu mleta mada,au mcity.mwisho nikaenda kuchukua china plaza.kariakoo humo ndani wengi sio waaminifu,mbaya zaidi ukirudisha sound kibao.
 
Kwaio china plaza haipo kariakoo?
 
dah izo bei nikichambua ya kwanza na nunua belo la mtu ila izo kuendelea
nanunua uwanja na mashamba
 
Acha ushamba wewe..ushawahi kuona wapi iPhone fake??...iPhone lazima iwe na iOS
Zipo bro. Nilishawahi kuiona Iphone 5 fake. Kwa nje ni kama yenyewe, kwenye software haina tofauti ni tecko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom