Duka la Sheria Ngowi

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
647
Reaction score
269
Hawa jamaa hapa mjini duka lao liko wapi:?

je quality ya nguo zao zikoje?
 
Bado nina mashaka ma Sheria, nataka kujua kama ana mafundi hapa mjini au yeye ni middleman - kazi yake ni kuchukua vipimo na kuvituma kwa mafundi waliopo china na india. kama hana mafundi basi biashara yake haitokuwa sustainable na bei zake zitakuwa ghali milele.

sijui sana kuhusu ubunifu wa nguo ila mpaka leo hii sijaona ubunifu wa ajabu wa nguo za kiume. mashati,suruali, tai na makoti .... ubunifu ni mdogo sana (insignificant changes to basic designs). i stand to be corrected
 

kwa ninavyoona mimi sheria sio kwamba anaingia kwa kutengeneza product mpya ama ya tofauti sana, nadhani amefocus kwenye kutengeneza brand na ndio maana kwenye uzinduzi aliwaalika macelebrities wa hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…