All depends on the location na usimamizi.
Saloon ukipata eneo zuri na lipo busy utapiga pesa hasa ukiwa na kinyozi mzuri na huduma extra kama scrub maana mizee ya ovyo inapenda kukandwa kandwa.
Duka la mangi faida yake huwa ni ndogo sana ila ni faida endelevu ukipata eneo lenye mzunguko mzuri. Na faida utaiona zaidi ikiwa unakaa mwenyewe.