vibatar
Member
- Mar 16, 2014
- 57
- 16
kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya nyumbani ...nimejichangaa nikapata ml 3 je naweza kufungua ikatosheleza ! asante