Acha uogaHabari wakuu
Nimeona watu wengi wakifanya biasha ya pombe
Naomba kuuliza huvi mtaji wa kufungua min store ya pombe bei gan!! (Kama duka la kuuzia pombe).
Acha uoga
Biashara anza na ulichonacho
Watu wanaanza biashara hata na laki moja tuu, bidhaa nyingi ni mali kauli punguza uoga chukua hatua
Ina dependsumeongea vizuri kwenye uthubutu kuwa kiasi chochote unaweza kuanza nacho ila kwenye mali kauli inakuja baada ya muda kuwa kwenye biashara wauzaji wakubwa wakujue