Mwaka mmoja uliopita palikuwa na duka la nguo na vifaa vya Adidas pale Mlimani City karibu na lango kuu la upande wa survey. Duka hili halipo kwa sasa badala yake pana jamaa wa KFC. Je hili duka la Adidas limehamia wapi?mwenye kujua naomba kunifahamisha au kama wenyewe wanasoma uzi huu basi wanijuze tafadhali.Asanteni