Mimi nazitengenezaga kwa sababu ya kukosekana madukana.Je nikikuelekeza unaweza kutengeneza?Unataka Female to Female?
Au male to female?
Meno mangapi?
Mimi nazitengenezaga kwa sababu ya kukosekana madukana.Je nikikuelekeza unaweza kutengeneza?
Kama unahitaji ya pini tisa ni pm nikupe namba yangu,ukipata muda nitafute.nitakupa bure maana sina kazi nazo kwasasa...