Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
We comte, huu ndio mudumange?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kamuweka mgangaWe comte, huu ndio mudumange?
Huu nimeuelewa.. ni watu wa Tanga au?
Huo ndio mdumange kutoka usambaaniHuu nimeuelewa.. ni watu wa Tanga au?
Mimi sio msambaa lakini naipenda sana hii ngoma pamoja na ile ya wa Zanzibar ni za asili kwakweli.