Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
Vipi mdada? ulitumia pesa ya mkopo kuweka heshima Bar na kula bata kwa sana nini? Njoo nikukopeshe bila riba!Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
Hakuna cha kujipanga, yaani uhuru wote unapotea.
Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
najitolea kukufundisha bure elimu ya biashara na mambo unayotakiwa kufanya,nipm kama uko tayari darasa lianze
ngoja mi nikuje Money Stunna
karibu darasa linaanza rasmi usiku. ukiamka utakuta notes kwenye pm . nunua daftari na peni.
Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
mkewangu nilimpiga stop 4yrs past, sitaki kusikia upuuzi wa kumatajirisha watu, wenyepesa wanakuja kuchuma kwa masikini, mwawaju waanzilishi wa vikoba?
Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
Hapo penye red, umekosea-slip of finger au.....