fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,588
- 9,091
Umsalimie mke wa mtu! ama bangi inakusumbua niniBaba mwenye watoto, nisaidia namba ya binti wako nimsalimie..
njozini! umevimbiwa mihogo iliyochacha?Shtuka mkuu uko njozini.
salama sio vita mkuuUmsalimie mke wa mtu! ama bangi inakusumbua nini
Ni salama but kwakuwa binti ndio mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu kesho ntajua kilichomletasalama sio vita mkuu
Huna cha nyumba wala binti... we endelea kukaa kwa shemeji yako kudowea ugari.njozini! umevimbiwa mihogo iliyochacha?
Mkilewa msiwe mnashika simu.Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.
Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
Punguza kunywa mataputapuUmeona threads kule waalimu mjiandae kwa interviews?
Acha illusions hizo amka jisomee notes za Geograna history masomo uliyoomea kazi anytime wanatangaza usaili
Una watoto wa ngapi ???Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.
Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
Sawa basi, utanijuza baba mkweNi salama but kwakuwa binti ndio mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu kesho ntajua kilichomleta
Hapana yapo vizuri sana,ila hii ni suprise ya aina yake.Tuna mawasiliano mazuri mno maana kwa jinsi tulivyo configure maisha yetu,official communication baina ya mimi na watoto wangu na baina ya watoto wangu na mimi yanapitia kwa huyo bonti yangu,mfano:baba na mtoto mawasiliano yenu mbona kama hafifu
Ili?Dah shule zifunguliwe tu aiseee,