Duh, Siombi ajira hovyo hovyo tena!

Duh, Siombi ajira hovyo hovyo tena!

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
461
Ok,nlishasahau kama nliwahi kuomba hii kazi. So,le natoka ofisini kidogo hapa nlipojishikiza nakuta text hii kwenye simu yangu..jisomee mwenyewe;

Habari, am xxx from yyy Organization,
Dar. Naingia kikaoni kikaoni tukapitie
majina ya kuinterview for xxx
ASSISTANT POST, I like your CV
nitakusaidia upate hii kazi. salary ni 1.3
Million, ila ukilipwa salary ya kwanza
utanipa kitu kidogo, if you agree do
this. .by saa 11 jioni uwe umetuma
scaned copy za vyeti vyako to
pppp@gmail.com na sh. elfu 35 by
tigopesa to 0659 xyzx ili nimpe mtu wa
interview anipe maswali ntakutumia
kwenye e-mail, hr manager nshampa
hela kidogo kashakubali, jitahidi utume
mapema nikitoka kikaoni utapigiwa
simu lini uje for interview..

Ungekuwa wewe ungefanyaje?Binafsi nimesema sipotezi nguvu, muda na hela tena kutuma Cv zangu 'hovyo hovyo.' Matapeli wanahusika sana.
 
kwa sababu ume-mask hiyo namba ya mtu anayetaka kukutapeli, sioni sababu ya post hii hapa

unauliza "nifanyaje?"
jibu; fungua kwanza namba
 
weka namba hapo hyo ndo maana ya big result huwez jua pengine kawatapeli wengi
 
weka namba hapo hyo ndo maana ya big result huwez jua pengine kawatapeli wengi

Nitaiweka nikishajiridhisha kama ni hatua sawia. Haya masuala siku hizi huchelewi kuwa sued.
 
Yeah,hao jamaa ni matapeli from hizo kampuni. Ukicheki hizo compuni ata ktk link za TZ hazipo! It has happened also to my wife. Alipiga simu (na. ya tigo) wala ikawa haipatikani,aliwa-text na kuuliza wao wanajishughurisha na nini na wako located wapi....wala hawakumjibu and it is week now. So hao jamaa wameweka mitego ili watu waingie mkenge. So my friend be careful on this!!
 
Duu matapeli kila corner.
Wengine wamesomea stashahada ya utapeli ktk chuo kikuu cha ulaghai,nahapo wapo kazini
 
Anajidai yupo kwenye kikao kumbe ni mdada wa masijala tu huyo!!watu wa masijala ndo zao hizo,wanachek kwenye mafail alafu wanatapeli watu
 
Mie Ningemwambia hv

========
Ha ka twi mtu hapa sasa ni bukheee tuma pesa kwa sheriii oh sherii
========
 
Mimi nafikiri ungemuanika hapa na sehemu aliyopo ili atendewe haki kinyume na hapo unamficha ili aendelee kutapeli wengine. Period.
 
Nitaiweka nikishajiridhisha kama ni hatua sawia. Haya masuala siku hizi huchelewi kuwa sued.
Utashitakiwa tu iwapo utakuwa unaleta taarifa za uongo na uchochezi humu zisizo kuwa na ushahidi wowote, afterall ndiyo maaa hakuna mtu anayejitaja jina lake humu unless umeamua mwenyewe kwa utashi wako kuwa verified.
 
Mie pia nimepata the same sms,ila nimeshtukia ni utapeli. Namba ni 0659777076
 
Mie pia nimepata the same sms,ila nimeshtukia ni utapeli. Namba ni 0659777076

Ni kweli namba ni hiyo hiyo. Na nimefanya utafiti huyu jamaa ndo mtindo wake kawatumia watu weng sana that text. Sijui km huwa anafanikiwa.
 
Anatapeli kishamba sana,yaani ukisoma sms yake lazima ushtuke,nime trace kwny tigo pesa amesajiliwa kwa jina Aboubakar Kizango
 
hao wez wana akili nyingi hzo namba usajiliwa na majina feki huwaonga mawakala na kusajil vile wanavyotaka na pia c lain ambazo zinakuwa hewan kwa hyo ata ukitoa hapo haitasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom