Duh! Sio mchezo aiseee

huyu mama well done. I salute you, hapo sasa uswa upo. maana tofauti ni maumbile tu na siyo kazi. Hongera zako. ukitoka hapo je na wewe utahonga? maana wenzio wanaume wakitoka hapo wanakata!1 je wewe?
 
hahahahahaha avatar ya DJ Sepetu najaribu kuilinganisha na huyo dada! Apige kazi ila akumbuke kunywa maziwa maana hilo vumbi ni baya sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…