Duh! Kilichomfuta Lowassa ndicho Afanyacho Magufuli!

Duh! Kilichomfuta Lowassa ndicho Afanyacho Magufuli!

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Kweli E. Lowassa alikusudiwa, kwa mujibu wa Kingunge Mwiru moja sababu ya kumfuta Edward Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kupendekezwa kuwa mgombea urais wa CCM ni kwambba, eti Lowassa alianza kampeni kabla ya wakati. LAKINI, cha ajabu Mh. Magufuli ameshaanza kampeni kuelekea urais kabla ya kipindi cha kampeni kuanza mwezi Septemba 2015.

Mh. Loawassa, kama ilivyo kwa Mh. Magufuli, amedaiwa kufanya kampeni kila alipokutana na makundi ya wanachama wenzake. Mh. Magufuli akiwa na mgombea mwenza wamekuwa wakifanya kampeni za urais kwa kila kinachoelezwa kuwa ni kumtambulisha kwa wanachama wenzake.

Kilichoonekana ni utovu wa NIDHAMU na MAADILI wa Mh. Lowassa kwa kanuni na katiba ya chama; leo hii kinaonekana kuwa ni kitendo cha kawaida na chenye baraka zote kufanywa na Mh. Magufuli ambaye sasa havunji kanuni za chama tu bali anakiuka na kuvunja katiba ya nchi.

HAKIKA "kitengo" ndani ya chama kilimkamia Mh. Edward Lowassa.
 
Magufuli ashaanza kampeni kweli tume huru ni muhimu inahitajika.
 
1954tanu

Tumia brain, you need to differentiate situations btn now and before.
 
Last edited by a moderator:
1954tanu

Pesa is money money money money! Yaani why only Iowasa and not many others ieft behind. Did God reveal to you that he was the one and oniy one! For the post? ??
 
Last edited by a moderator:
No one will think of rebellions for another century.
 
angelikuwa ni mgombea wa upinzani tungeshuhudia matamko mengi saana toka NEC..
 
1954tanu

Kingunge ana mambo haswa.

Kukatwa wakatwe wengine, akikatwa Lowassa "kitengo" kimekiuka kanuni.
 
Last edited by a moderator:
angelikuwa ni mgombea wa upinzani tungeshuhudia matamko mengi saana toka NEC..

Mbona katika bunge lilopita upande wa upinzani ukiongozwa na KUB wao walipiga kampeni mwanzo hadi mwisho wa bunge hilo wazi wazi na NEC iliwamezea.
 
Lubuva itabidi aulizwe km Tendwa
BAVICHA ninyi ni watu wa ajabu sana
wakati mnazunguka na M4C
mara Sangara
mara kumtoa Zitto
kuna mtu aliwazuia?
acheni mchecheto haikatazwi na nyinyi mkamtangaza Lowassa Nchi nzima kabla ya UKAWA kutoa jina
 
maccm kwa rafu hawajambo.Goli la kidole hilo.Lubuva uko wapi?
 
BAVICHA ninyi ni watu wa ajabu sanawakati mnazunguka na M4C mara Sangaramara kumtoa Zittokuna mtu aliwazuia?acheni mchecheto haikatazwi na nyinyi mkamtangaza Lowassa Nchi nzima kabla ya UKAWA kutoa jina
Mbona unaongea habari zilishapitwa..na wenyewe sasa hivi wanajicheka kwa kufanya upuuzi ...ila hili la lowasa CCM hawawezi ongea.
 
Mbona unaongea habari zilishapitwa..na wenyewe sasa hivi wanajicheka kwa kufanya upuuzi ...ila hili la lowasa CCM hawawezi ongea.
Mleta Mada hataki Magufuli azunguke kabla ya wakati
Na mm namuelewesha CHADEMA waliliacha BUNGE wakazunguka Nchi nzima mbona Libuva au Mutungi hatukumuambia?
kwanini CHADEMA msisubiri 2025
DSC_1110.jpg

sasa hapo Rais Magufuli akisalimia Wazanzibar ndi mnachukia je angepanda Helkopta
DSC_1181.jpg
 
Back
Top Bottom