Duh Joka kubwa lameza Mamba

Duh Joka kubwa lameza Mamba

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
238
Habari za saa hizi wadau. Nimekutana na jambo linatotisha pale joka kubwa aina ya chatu likimmeza mamba baada ya vuta ni kuvute takriban masaa matano ya nani mbabe


vd-snakecrocodile-408x264.jpg


SB-snake_gall13-20140303141439466626-620x414.jpg
gal-port-IMG_2917-600x400.jpg
 
Hii BBC walikuwa wanaitangaza sana,
Ila huyo nyoka ni noma,mamba na magamba yake anammeza mzima mzima
 
Back
Top Bottom