Duh! Hii ni hatari

Hawa watu wanakufuru ile mbaya dah hii ni upuuzi siasa zenu kwa kweli
Ww unamfananisha kiumbe na mmung hakika nyie mnalaaan kubwa
 
ingekuwa ccm hapo mbele na washangiliaji wangekuwa wamepiga masale yao tupu. Cheki hao wakina mama na kanga zao na lubega zao wamechomoka majikoni mbio kwenda kumshangilia lowasa. wanakwambia lowasa kwanza chakula baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…