Duh! Hii kali

Hapo anamwambia "kidole kimoja hakivunji chawa"
 
AnamwimbiA wimbo wa zamani:
-Gumba akasema, ni saa ya kulala,
-Shahada kajibu mbona mi sijala
-Chakati kasema twende tukaibe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…