Duh, hawa jamaa ni noma...

Ni ile post yako ya jinsi ya kuengenza virus? Kama wameifuta inaonyesha hii jamii forum imekaa kisiasa zaidi. Mtu kutaka kujua au kjifufunza mbinu anazotumia mwizi haina maana yeye ni mwizi.

Ila na wewe Mla mbavu msaniii umejifanya umecode mwenyewe wakati nimeona code kama hiyo ya mwaka 2007.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…