kwa sababu natokea 'intilia' kidogo (santilia) ilinichukua kama siku mbili kupata booking safari ya ndege. nikitokea uwanja wa songwe mbalizi mbeya safari yangu ya angani ilinichukua takriban dk 45 tu ukiachia rabsha za hapa na pale japo ni gharama lakin uwazi kuchimba dawa wala kula njiani labda uhuru tu wa kuwapungia mikono wasindikizaji na kutembea ovyo ndani hakika nineinjoi baada kufika NIA dar nilijiona mwepesi na tafakuri nyingi kichwani kwamba ni kweli nimefika au naota, nimezoea tren ya tazara zaidi siku 2 kusafiri njian its so amazing lol ilinichukua karibu masaa 8 kuwafakia wenyeji wangu nao walishangaa wala hawakuamin kama nimekuja na ndege kumbe niliminya sehemu nagonga viloba ili akili ikae sawia nimeamini tafuta ela uitmie na maisha mazuri yakuzoee
Hongera mwaya kwa kupanda ndege jitahidi pia wakati unarudi mbeya urudi na ndege
teh teh pouwa Honey Faith ila mazoea yana tabu
sikuzaliwa nayo ndio maana jana nikaandika historia sijui weye mwenzangu
Edit uzi wako andika JNIA-JK NYERERE INTERNATIONAL AIRPORTusijali watakujuza tu hii ndio GT burudani na mafunzo
Afu we mbona huwa unachangiaga usiku tu.., huwa unawanga au..?!Hahahahaha aiseee mkuu umenifanya nitabasamu
Edit uzi wako andika JNIA-JK NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT
hehe kapanda ndege saa 3 asubuhi hadi saa 7 usiku bado ana kimuhemuhe?Labda alipitiwa tu si unajua furaha aliyokuwepo nayo jamani
hehe kapanda ndege saa 3 asubuhi hadi saa 7 usiku bado ana kimuhemuhe?
Afu we mbona huwa unachangiaga usiku tu.., huwa unawanga au..?!
Edit uzi wako andika JNIA-JK NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT
Samahani mkuu ndiyo mala yako ya kwanza kupanda Ndege?
Afu we mbona huwa unachangiaga usiku tu.., huwa unawanga au..?!