Duh Bondia ndo nani hapa?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Sais+powa.JPG
 
Source michuzi blogs..eti hao walonyanyuliwa ndo mabondia...nilidhani aliowanyanyua ndo bondia....Bongo kweli sooo
 
Njaa mbaya ndugu yangu.

Ilinichukua muda kuamini walonyanyuliwa ndo mabondia mtu wangu...sasa mtu kama huyo kweli akutane na tyson si hata watazamaji wanamwambia akubali bila kupigana? duh............No wonder Ngasa alifingwa UK...
 
Kwani hawa wanapigana ni akina nani?...wanapigana uzani gani?
Tusiwakatishe tamaa jamani amacha wetu....hata mbuyu ulianza kama mchicha! wabongo 2mezidi kuponda, dah!
 
Hamjui mnachokiongea, hao ni mbwana matumla na francis miyeyusho wote wawili ni mabondia wazuri tu na weshaipeperusha bendera ya Tanzania huko nje kwa kupigana international games, na kufanya vizuri pia. Bondia ipo ya uzito mbalimbali huwezi kumpiganisha david heys na floyd mywether japo wote ni mabondia tena mashuhuri. Kama hujui unachosema ni vyema ukanyamaza, nani kakwambia kuwa bonge ndio afya? Ga dem shit
 
Halafu hapo Mbwana alijaribu kutunisha na kuonyesha msuli ila wala haukuonekana kudadadeki unafanya mchezo na matembele na mlenda nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom