Duh! Bia za milioni 9!

We huoni wameuziwa bei ya reja reja. Yaani bei ya bar
 
Bia hazishibishi na huwezi vimbewa,
Bajeti ndogo Sana hiyo Kwa wanywaji WA bia
 
Pahala nimeona Kuni na Mkaa, hakika maajabu hayatakaa yeshe!
 
Viungo 600k yani hizi nyanya, karoti, hoho🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…