small house at work
tupange mbinu huko anachunika tu
small house at work
tupange mbinu huko anachunika tu
whaat???kabadilika???@Ruttashobolwa unajiteteaje??
ngoja nihakikishe kama
kweli na mimi nitafute kidumu!
we kwa nn uwe na small houseLov worry out! Ukichukua kidumu sio kwamba utakuwa umefikiria leo bali umeamua leo na kupanga zamani na ulikuwa una tafuta sababu! Lov yoooooooooooooouuuuuu
we kwa nn uwe na small house
nitakuja thn nijue ukweli,nitaua mtu!
Shemeji una lips za kuvutia ujue, ndio maana Tonykp anazipenda
Ruttashobolwa ndio anazipenda
habari ya Tonykp simjui sor manoah!
Kiuno chako tu kha! Tonykp hoi
nitatuma kikosi cha mizinga
tanga wakulipue shaurilo,niache na loya bna!
we kwa nn uwe na small house
nitakuja thn nijue ukweli,nitaua mtu!
Una miguu mizuri, enzi tunasoma nilikua nakuwekea kioo kwa down ah ah!
sema nilikua navaa
bukta ya combat uliambulia patupu hahaaa!
Am on my way my Passion Lady niko USA river nikifika kwa mrefu nitakupigia ujiandae.
ah ah ah! nitakuambia via pm vimini vilikua vinakutoa shemeji yani pale hata mkwele ange kuhonga ukuu wa wilaya
niunganishe na mkwele bas
kama vp coz mvuto ni uleule!
ni ahidi ukipata uku wa mkoa au ukuu wa wila utanipa nini? Ila mi naona nichonge nae akupe ukatibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi
una akili wewe hivyo hivyo
nitakuteua kama msaidizi wangu!