sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,678 Reaction score 9,840 May 1, 2024 #1 Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 May 1, 2024 #2 Shushushu
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,898 Reaction score 36,398 May 1, 2024 #3 Akaribie kwa wananchi
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 May 1, 2024 #4 Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,716 Reaction score 32,498 May 1, 2024 #5 Kwani kule kwenye ice cream kashakubaliwa kuvunja tayari?
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 May 1, 2024 #6 Huyu jamaa msimu mzima ana magoli 4!
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,273 Reaction score 14,525 May 1, 2024 #7 Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam
Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,273 Reaction score 14,525 May 1, 2024 #8 Kiweriweri said: Huyu jamaa msimu mzima ana magoli magoli 4! Click to expand... kibu denisi ana magoli mangapi
Kiweriweri said: Huyu jamaa msimu mzima ana magoli magoli 4! Click to expand... kibu denisi ana magoli mangapi
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,220 May 1, 2024 #9 NALIA NGWENA said: mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam Click to expand... Atapigwa upofu na atakakuwa anashindana nao namba pale utopoloni.
NALIA NGWENA said: mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam Click to expand... Atapigwa upofu na atakakuwa anashindana nao namba pale utopoloni.
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,464 Reaction score 3,641 May 1, 2024 #10 Kwani zile barua za FIFA na TFF zimesha shughulikiwa tayari.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 May 1, 2024 #11 NALIA NGWENA said: mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam Click to expand... Hatuna shida na Azizi kiii..yy alitoka kwao akaja kucheza Yanga shida ni huyo anaeruka ruka hao dawa yao ni kupigwa tuu upofu...
NALIA NGWENA said: mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam Click to expand... Hatuna shida na Azizi kiii..yy alitoka kwao akaja kucheza Yanga shida ni huyo anaeruka ruka hao dawa yao ni kupigwa tuu upofu...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,973 Reaction score 119,471 May 1, 2024 #12 Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,678 Reaction score 9,840 May 1, 2024 Thread starter #13 Kambaku said: Kwani kule kwenye ice cream kashakubaliwa kuvunja tayari? Click to expand... Mkataba wake ulifanyika kishikaji haukufata kanuni za TFF hivyo ni wazi Azam wanapoteza muda watashindwa tu.
Kambaku said: Kwani kule kwenye ice cream kashakubaliwa kuvunja tayari? Click to expand... Mkataba wake ulifanyika kishikaji haukufata kanuni za TFF hivyo ni wazi Azam wanapoteza muda watashindwa tu.
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,404 Reaction score 23,611 May 1, 2024 #14 NALIA NGWENA said: kibu denisi ana magoli mangapi Click to expand... Analingana na Job Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
NALIA NGWENA said: kibu denisi ana magoli mangapi Click to expand... Analingana na Job Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Happycuit JF-Expert Member Joined Aug 18, 2013 Posts 646 Reaction score 542 May 1, 2024 #15 Hamna kitu humo, galasa tu
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 May 1, 2024 #16 Tate Mkuu said: Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana. Click to expand... Ako na miguu ya kioo
Tate Mkuu said: Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana. Click to expand... Ako na miguu ya kioo
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,126 Reaction score 40,139 May 1, 2024 #17 Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... Ila la Simba ataliona.
Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... Ila la Simba ataliona.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 May 1, 2024 #18 Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... Hahahahaha
Kalpana said: Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π Click to expand... Hahahahaha
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 May 1, 2024 #19 Tate Mkuu said: Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana. Click to expand... Hili hata mimi nalihofia sana
Tate Mkuu said: Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana. Click to expand... Hili hata mimi nalihofia sana
Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 4,381 Reaction score 7,449 May 2, 2024 #20 Gal Happycuit said: Hamna kitu humo, galasa tu Click to expand... Galasa linawakojokea mkojo wa moto kila mechi?.
Gal Happycuit said: Hamna kitu humo, galasa tu Click to expand... Galasa linawakojokea mkojo wa moto kila mechi?.