Dubai skyline

Nauliza hivi....hayo mawingu hayawezi kuingia ndani?
 
ni kama fog ama ukungu,kwahiyo kuingia ndani lazima kama madirisha yako wazi.mara nyingi hizi picha wanacapture asubuhi ,jua likiwaka huwezi pata view kama hiyo.
 
ni kama fog ama ukungu,kwahiyo kuingia ndani lazima kama madirisha yako wazi.mara nyingi hizi picha wanacapture asubuhi ,jua likiwaka huwezi pata view kama hiyo.

Asante kwa kujibu swali ambalo limekuwa likinisumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…