Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Chama cha Duniani the vampiresHawakutawaliwa na CCM hawa wangeipata pata squandering yangekua yamebakia mashimo empty tu na wananchi wamekondeana......
Mwambie aliyekutuma kafeli....kama mnampango wa kumfanya mwenyekiti wenu wa inzi Wa kijani kuwa rais wa milele mmeshindwa....
Dubai mwaka 1990
Mtaa huo huo mwaka 2003
Mtaa huo huo mwaka 2007
Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki
Na hiki
Na hiki
Na hiki
Na treni lisilo na dereva
Si London, si Paris, si New York. Wote hoi.
Jamaa hawana vyama vya siasa vinavyohujumiana. Wananchi wao hawana ushabiki wa kuipinga serikali kwa misingi ya vyama. Wanamiliki mafuta yao.
Na sisi tukiwakaba koo wawekezaji tukimiliki rasilimali zetu uongo tutafikia hata robo ya maendeleo ya Dubai.
sio kweli wanadubai wanapesa balaa, investiment hizo zipo za wageni na wazawaWana watu wangapi? Majengo wamejengea wageni kama yetu wanavyoishi Kunguni wa Kihindi huko Kisutu na Upanga sisi tunaishia kukaa Charambe
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Wako wachache sanasio kweli wanadubai wanapesa balaa, investiment hizo zipo za wageni na wazawa
Kidogo niweke sawa point ya mwisho, Dubai wana mafuta kidogo sana tena sana sema wao wameweka mazingira ya uwekezaji bora, free port, utalii, real estate development, kujenga au kuvutia uwekezaji wa mahotel makubwa kukidhi mahitaji ya wageni na zaidi usalama na pia wameweza kuwafanya watu mataifa tofauti au dini kuishi pamoja kwa kuheshimu sheria. Mafuta ni madogo sana maana Abudhabi ndio wanautajiri mkubwa sana tu wa mafuta na wanatoa budget kubwa ya federal lakini Dubai wako juu kibiashara.
Dubai mwaka 1990
Mtaa huo huo mwaka 2003
Mtaa huo huo mwaka 2007
Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki
Na hiki
Na hiki
Na hiki
Na treni lisilo na dereva
Si London, si Paris, si New York. Wote hoi.
Jamaa hawana vyama vya siasa vinavyohujumiana. Wananchi wao hawana ushabiki wa kuipinga serikali kwa misingi ya vyama. Wanamiliki mafuta yao.
Na sisi tukiwakaba koo wawekezaji tukimiliki rasilimali zetu uongo tutafikia hata robo ya maendeleo ya Dubai.
point muhimuTukifika hapo sijui wenzetu watakuwa hatua ipi kimaendeleo