The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished.
Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei.
Nyumba zimeshuka thamani 69%. Biashara haziendi.
Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na Bangladesh nao wanataka kurudi nyumbani hamna biashara ni njaa.
Ukilinganisha na Dubei hawazalishi mafuta kwa wingi kwisha.
Iran imeamua kukomaa na UAE hasa Dubei kwa kuishambulia na zile suicide drones zake.
Kuna wahamiaji Expat waingereza 280,000 akiwemo mlinzi wa zamani Manchester United Rio Ferdinand nao wanaikimbia nakusema hawatarudi tena.
Sijui na wale ndugu zetu waliopata ajira mpya 500 itakuwaje?
Wabeba box mtoni tulikuwa tunaringishiwa kwenye social media eti tunapambana na baridi wenyewe wanaenjoy sunshine kwenye maswimming pools na skyscrapers. Sasa rudini tujumuike wote kwenye baridi maamae.