GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Hongera zao!
Utilization of resources hufanywa na watu werevu tu
wame level surface ya bahari / wakalijenga na kulitumbukiza baharini /
hongera
Na Tanzania nasisi tutajenga pia viwanja vya ndege chini ya bahari hivi karibuni tuliweza kuleta mvua ya el itatushinda hii
ZanzibarTanzania tayari tuna hoteli ina vyumba chini ya bahari.