Dubai kuja na technology Hii

Dubai kuja na technology Hii

Technian Tanga

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
411
Reaction score
200
Dubai ni moja kati ya taifa linaloendelea kwa kasi sana kwa sasa wameanza kushughulikia swala la ujenzi wa viwanja vya tenis chini ya bahari uploadfromtaptalk1432985708451.jpg licha ya burudani ya utazamaji wa mchezo huo wa tennis chini ya maji mashabiki pia watajionea utalii wa ajabu huko chini ya bahari uploadfromtaptalk1432985777326.jpg
 
wame level surface ya bahari / wakalijenga na kulitumbukiza baharini /
hongera
 
Duhh huko hata bure sijaingia wakuu, hivi itokee hapo ndo huo sijui niseme ukuta upasuke inakuweje hapo?
 
bado haija jengwa na jamaa mmoja tu ndo katoa michoro yake mwezi huu.
 
Na Tanzania nasisi tutajenga pia viwanja vya ndege chini ya bahari hivi karibuni tuliweza kuleta mvua ya el itatushinda hii
 
Dubai ni moja kati ya taifa linaloendelea kwa kasi sana kwa sasa wameanza kushughulikia swala la ujenzi wa viwanja vya tenis chini ya bahariView attachment 255801 licha ya burudani ya utazamaji wa mchezo huo wa tennis chini ya maji mashabiki pia watajionea utalii wa ajabu huko chini ya bahariView attachment 255802
Hawa wame desa kutoka pemba???? Hivi Dubai ni nchi au mji ???
 
Duhh huko hata bure sijaingia wakuu, hivi itokee hapo ndo huo sijui niseme ukuta upasuke inakuweje hapo?


Bora ukuta ukipasuka mnaweza mkaelea na kuokolewa, fikiria al-shaabab na al-kaida wakija na milipuko,
 
Huko kutakuwa ni kwaajili ya mabilioner tiket ya kutazama mpambano mmoja tu unarudi kwenu!
 
Bulldog umenichekesha nusura nimeze toothpick. Unanikumbusha mechi za mchangani enzi za mwalimu mkipigwa bao mnatoboa mpira game kwisha maana miaka ile mipira ilikuwa adimu saana.
 
Back
Top Bottom