Dua yangu kwako leo mwana jf hai

Dua yangu kwako leo mwana jf hai

NancyM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
314
Reaction score
40
MUNGU akulinde LEO na KESHO,Upendwe kama NYERERE,uishi maisha marefu kama bi kidude,usipoteze umaarufu kama Mandela,uwe jasiri kama Z.kabwe, upate safari nyingi kama Kikwete, usiwe na hila kama TANESCO,usihukumiwe kama sadam, usipakaziwe kama Babu sea, usife kama The great kanumba, uuze kama cmu za kichina uwe na amani kama TZ.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom