Maombi ni kiswahiliNdio lugha gani hizo mkuu...
Ni swala au sala?Maombi/duwa ni kabla na baada ya kufanya jambo flan au baada ya kumaliza Sala / swala/ ibada.
milele na milele Amina mtumishi Andromeda GalaxyTumsifu Yesu kristu mtumishi zaburi
Noted!!! mkuu Camp coz pita huku utoe mwongozo na ile comment yako!Tofauti kuu kati ya dua na maombi ni kwamba maombi ni neno la ujumla la kuwasilisha haja yoyote au kuomba msaada kwa Mungu, wakati dua ni ombi maalumu lenye unyenyekevu mkuu na la ndani zaidi ambalo mara nyingi huambatana na kuomba rehema au msamaha wa jambo
NdiyoJe! jambo lolote linahitaji maombi kabla ya kulifaya?