Pamoja mkuu.viva TanzaniaTuko pamoja naye asilimia 100
Pamoja kiongozi. Mungu ibariki Tanzania.Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika
Amen.
Angalieni mkurungenzi wa Rea TBC wazungu wataisoma namba.Tupo gadoTuko pamoja naye asilimia 100
Namsikiliza hapa mkuu.Angalieni mkurungenzi wa Rea TBC wazungu wataisoma namba.Tupo gado
Wazungu watarudi na stahili hii "kubalini ushoga tuwape misaada tena"Wakuu
Habari za muda huu, nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya watanzania wenzangu kuonesha kutokana na kutoelewa au kwa kuelewa kufurahia kitendo cha serikali yetu kukosa fedha za mradi wa Umeme vijijini uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani.
Pia nimefuatilia kufahamu baadhi ya nchi zilizojitoa kuifadhili Tanzania ikiwa ni pamoja na Sweden na Ireland ambazo wao sababu walizozitoa ni kumaliza mkataba na serikali ya Tanzania, tofauti na marekani ambayo sababu zake ni uchaguzi wa Zanzibar na sheria ya udhibiti wa mitandao.
Lengo langu kuandika Uzi huu ni kuwaambia watanzania wenzangu tusitegemee kuna mtu atatusaidia kuijenga nchi yetu zaidi ya sisi wenyewe. Tusikubali misaada kwa masharti ya namna ya kuendesha nchi yetu tutakuwa watumwa ndugu zangu. Mungu ametujalia nchi hii Ina kila Kitu kwanini tukubali kupelekeshwa? Hizi nchi za ulaya na marekani msizione hivi wanatumezea mate.
Naomba tumuunge mh.rais Magufuli mkono kujenga uchumi wetu tutaheshimika huko duniani.
Wakuu

Wafadhili wa endelea kuipiga pini misaada kwa tanzania sasa ni 10Wakuu

Kwa serikali hii ya magufuli wasahau. Mkuu huyu jamaa ni Nyerere the secondWazungu watarudi na stahili hii "kubalini ushoga tuwape misaada tena"
Wakuu
Habari za muda huu, nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya watanzania wenzangu kuonesha kutokana na kutoelewa au kwa kuelewa kufurahia kitendo cha serikali yetu kukosa fedha za mradi wa Umeme vijijini uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani.
Pia nimefuatilia kufahamu baadhi ya nchi zilizojitoa kuifadhili Tanzania ikiwa ni pamoja na Sweden na Ireland ambazo wao sababu walizozitoa ni kumaliza mkataba na serikali ya Tanzania, tofauti na marekani ambayo sababu zake ni uchaguzi wa Zanzibar na sheria ya udhibiti wa mitandao.
Lengo langu kuandika Uzi huu ni kuwaambia watanzania wenzangu tusitegemee kuna mtu atatusaidia kuijenga nchi yetu zaidi ya sisi wenyewe. Tusikubali misaada kwa masharti ya namna ya kuendesha nchi yetu tutakuwa watumwa ndugu zangu. Mungu ametujalia nchi hii Ina kila Kitu kwanini tukubali kupelekeshwa? Hizi nchi za ulaya na marekani msizione hivi wanatumezea mate.
Naomba tumuunge mh.rais Magufuli mkono kujenga uchumi wetu tutaheshimika huko duniani.
Leo ulikuwepo mahakamani?Pamoja mkuu.viva Tanzania
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuuu leo maccm hayana pa kushikaNaona Mnazidi Kujichokoa Pua Zenu naa Kisha Kuvilamba!
Kama siyo wanao basi watoto wa ndugu zako saa hizi wanasoma bila bugdha kwa serikali hii hii unayoikashifu . Tanzania mpya imezaliwa. Mungu mjalie rais wetu maisha marefu.Nchi yetu itagengwa na ccm na wanaccm pekee wasiozidi milioni kumi maana ndio waliojipa haki miliki ya nchi yetu sisi wengine mnatuona wasindikizaji ndo maana Mara mnatuita machotara,Mara manyumbu,Mara vibaraka.ufisi wenu wa madaraka mwaka huu hakuna ranging mtaacha kuona
siku buku saba wanayolipwa ikikauka ndo akili zao zitawarudiaNaona Mnazidi Kujichokoa Pua Zenu naa Kisha Kuvilamba!
Nawasikiliza wataalamu hapa. Hii nchi hatukurupuki.wazungu imekula kwao.Tbc 1 live mada ipo hewani kelele za REA zote kwishnei...wanaofurahia kunyimwa misaada eti REA itakufa ha ha haaa.....