DTF MACHINE for T-shirt Print

DTF MACHINE for T-shirt Print

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,700
Ziko DTF mbili Kuna newkins Ambayo ni used na pia Kuna DTF za kampuni ya YingHe ambazo ni mpya na accessories zingine Kama 8 in 1 Heat compressor, Kuna paper cutter machine, kuna inks na cleaning solvent za kampuni ya YingHe

Ni vyema ukanicheki nikupe Bei za Kizalendo na pia nauza printers mbalimbali na laptop 0659167416 Whatsapp/ Telegram/ call / sms
IMG-20230815-WA0010.jpg
IMG-20230815-WA0007.jpg
IMG-20230815-WA0004.jpg
img_1691828624415.jpg
 
Kwa mtaji wa 5M
Unaagiza jezi china au Kkoo za msimu mpya(1.5)
Unachukua jezi 20-50 za Simba,Azam na Yanga kwakuwa feki za bongo wanakamata tufanye (700k)
Unanunua hii printer ya Jezi sidhani kama inavuka 2M
Unaanza kuprint jezi majina ya watu kikawaida ni buku kwa kila herufi kwahio mtu akileta neno lenye herufi 6 ni 5K unampunguzia jumlisha bei ya jezi unauza jezi ilioprintiwa kwa 30-32k za ulaya na Uarabuni kwasasa ligi inakua
Biashara ikikua unaongeza mashine za kuprint na picha unanunua mzigo wa plain T-shirt unaanza kuprint picha kaliii za Mt.kilimanjaro,Bendera picha za watu
Baada ya mwaka faida lazima irudi

NB:Ni mawazo ya mlevi usichukulie seeious sio kirahisi namna iyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom