VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Hili ni jipu LA muda mrefu sana yaani hili jipu ni lazima Raise wetu kipenzi cha wanyonge alitumbue kwa kukithiri unyonyaji wanaofanya dhidi ya watanzania!!! Haiwezekani kabisa na wala haiingii akilini vifurushi vya dstv kuwa ghali sana kuliko ving'amuzi vingine!!!! Wanakata hata local channel pale ambapo malipo yanapoisha!!! Hili ni jipu haswaaa!!?