Rafiki yangu, hao wajanja wa afrika kusini ni noma! hawafai kuibia. Kuna msela mmoja dar maeneo ya sinza alijaribu
hii kitu wakamstukia wakamkamata.Wana maajenti wengi kwenye miji mikubwa kuchunguza uchakachuaji wa chaneli zao.
Hata akitokea mtu kukueleza kwamba anajua hayo maujanja kaa naye mbali.