Dstv

Kajuni

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Posts
483
Reaction score
186
Ndugu wana JF watalaamu wa hizi technology tafadhali msaada ni vipi naweza kupata local channels? Kwani tayari jamaa wameishazima analogia.
 
Boss kule unapata TBC peke yake, utapata za kenya nyingi...
 
chaneli za kibongo dstv wamegoma kuziunga sijui kwanini..
 
Nilichowasoma TCRA ni kwamba sio decoder zote wataweka hizi local channels as FTA, bali ni Star TImes na mwingine ni nani sijui. Sasa hilo hawaweki wazi, ndo maana watu bado watalia, ama kuwa na ving'amuzi double double kama mmliki wa guest house anavyosupply vyumbani.

Kwa hiyo dstv kuweka local zote haiwezekani, maana nayeye anatazama biashara, nadhani inabidi awalipe kama akiziweka, sasa Star Times ni chombo 'mama' hapa nchini, ubia na serikali kupitia shirika la utangazaji nchini.
 
Watakaoweka local channels zote ni Startimes,Agape na Basic Transmission(cha Mengi na Sahara group ambacho bado hakijaanza) na hata hizo local channels sio zote
mfano DTV ipo startimes lakini watu wanalipia kwa sababu yenyewe inaruhusiwa kuonyeshwa DSM pekee so wa mikoani lazima walipie

Hizo dekoda nyingine wakiweka local channels basi ni option ila haiwalazimu!
 

mbona hata tuliopo dar hii DTV haionekani..
 
Nashukuru sana wadau hii kweli inaonyesha ni jinsi gani serikari yetu ilvyo tiwa mfukoni haiwezekani tuwe na vingamuzi saba kwa ajil ya kupata hizi local channel.
Hiki kingamuzi cha startimes kinakigugumizi mpaka basi.
 
Hii star times ni mradi wa wachina ambao wamejifanya kuingia ubia na tbc.chezea mchina wewe!
 
mi bongo mwenzetu haitaki kutupa dili unategemea nini..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…