Hao hata local Channel zimefutwa now..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani Azam ndo muda wake wa kujiimarisha zaidi ili kumchallenge dstv
Kabisa.Dstv kwa sasa hawana tofauti na fastjet soon wanaondoka nchini tubaki na vyetu tu
Hao hata local Channel zimefutwa now..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So azama haiwezi kuwa Bora tena.. Labda Stat times now ndo boraaKwani wao DSTV wanazo!!!
Good moveazam sasa kapewa haki ya kuonesha kombe la faView attachment 977579
Hata mimi naona, siku zao zinahesabika.Dstv kwa sasa hawana tofauti na fastjet soon wanaondoka nchini tubaki na vyetu tu
Unaongea kama mtu mwenye cheo gani pale ghorofani, mkabala na Mlimani City?Hata mimi naona, siku zao zinahesabika.
Mkuu hicho cha canal+ knapatkana vp? na bei ipoje?Mwanzoni walianza kutokuonesha Ngao ya hisani, baadae wakaja wakasema hawataonesha Europa League, Na sasa wamenitumia sms kuwa Chaneli pendwa SS8 namba 208 inayoonesha Serie A itahamia kwenye kifurushi cha 39,000 kutoka kwenye kifurushi cha 19,000 kuanzia Januari 15.
Hii yote inakuja mara baada ya kutangaza kuwa hawataonyesha michuano mikongwe ulimwenguni ya Kombe la F.A kwa msimu huu. Nafikiri kuna tatizo sehemu, pengine Dstv wameshalewa sifa, maana Europa League kwa upande wa South Africa hao Dstv wanaonyesha michuano hiyo au sisi Watanzania wametuchoka?
Laiti kisimbuzi cha Canal + kingekuwa kinatangaza kwa lugha ya kiingereza nafikiri sisi walevi wa mpira tungekimbilia huko, maana gharama zake ni nafuu sana.
Mlio karibu na Dstv wafikishieni habari, sisi kama wateja pia tumeanza kuwachoka kama wao walivyotuchoka.
Sikukuu njema wakuu!
K/koo bei ya kingamuzi ni 130,000/ kwa mwezi ni 40,000 unaangalia Ligue 1, EPL, Europa, Uefa ila changamoto ni matangazo ya mpira ni Kifaransa.Mkuu hicho cha canal+ knapatkana vp? na bei ipoje?