DSTV wameiondoa ITV kwenye kifurushi cha Ths.23,500/=

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,253
Hatimae DSTV wameiondoa ITV kwenye kifurushi chake cha bei ya tsh.23,500/= kuanzia Leo tarehe 30/8/2016.

Hakika kitendo hicho kimeshtua sana kwani kimekuwa cha ghafula sana.

Niliamini ITV ingeendelea kubaki katika hicho kifurushi kwani ITV inaangaliwa Na watu wa chini Na INA vipindi vinavyoelimisha jamii.
 
Mkuu, mbona hapa Mimi naangalia taarifa ya habari ya ITV kupitia Dstv?
 
nunua cha 80 na ngapi cjui, ila jana mimi niliongea nao, nimewabia wanapoteza wateja maana sasa kila mtu ananunua android box, wakirekebishe, wamesema mwezi wa tisa watapunguza bei za vifurushi hasa compac ndo tunasubir tuone
 
Muuza ubuyu ITV kwenye My Channel haipatikani ambapo ndio kifurushi cha sh.23,500/= wewe unaipata kwenye channel gani?
 
We jamaa acha uongo,
1472578412327.jpg
mbona mimi naendelea kupata huduma hii kwa 23,500 kama ilivyo ada.
 
Nipo hapa asubuhi tarehe tatu naangalia itv katika kifurushi cha 23500,labda mtoa mada kifurushi chako kimeanza kukata channel moja moja maana ndio mambo yanavyotokea kifurushi kinapofikia ukomo.hukata channel moja moja
 
nunua cha 80 na ngapi cjui, ila jana mimi niliongea nao, nimewabia wanapoteza wateja maana sasa kila mtu ananunua android box, wakirekebishe, wamesema mwezi wa tisa watapunguza bei za vifurushi hasa compac ndo tunasubir tuone
msaada mkuu, hiyo android box ndo nini? na inafanyaje kazi?
 
Ukiamua kuweka dstv usiwe mtu wakulialia...kama unahela ya mawazo nunua ving'amuzi vya kwetu..azam..continental..ting..zuku..digitek..nk
 
nunua cha 80 na ngapi cjui, ila jana mimi niliongea nao, nimewabia wanapoteza wateja maana sasa kila mtu ananunua android box, wakirekebishe, wamesema mwezi wa tisa watapunguza bei za vifurushi hasa compac ndo tunasubir tuone
Android box ndio ipi hiyo??
 
Hatimae DSTV wameiondoa ITV kwenye kifurushi chake cha bei ya tsh.23,500/= kuanzia Leo tarehe 30/8/2016.

Hakika kitendo hicho kimeshtua sana kwani kimekuwa cha ghafula sana.

Niliamini ITV ingeendelea kubaki katika hicho kifurushi kwani ITV inaangaliwa Na watu wa chini Na INA vipindi vinavyoelimisha jamii.
We mchochezi bwege wee mbna ipo?
 
Back
Top Bottom