vizuri siku zote gharama mkuu....!! mi namshauri achukue dstv tu kama ni mpenzi wa entertainments (movies, games etc) maana jamaa wako juu kwa channel za mambo hayo..ila ndo ukubali gharama....channel za kibongo ndo kama hivyo ni TBC tu ndo unapata ila zipo nyingine nzuri tu za afrika mashariki.....hii zuku hii naskia inakuja kwa kasi ila mi binafsi yangu bado naiskilizia kwanza maana tusije fanyiwa kama yale ya GTV!!dstv ni gharama sana mkuu lakini hana mpinzani kwa chanel za uhakika kaka....
Jamaa wapo vizuri mkuu itabidi tuendelee kuumia tu na hizo gharama zao kaka coz si wengune bila mpira weekend haiendi mkuu!vizuri siku zote gharama mkuu....!! mi namshauri achukue dstv tu kama ni mpenzi wa entertainments (movies, games etc) maana jamaa wako juu kwa channel za mambo hayo..ila ndo ukubali gharama....channel za kibongo ndo kama hivyo ni TBC tu ndo unapata ila zipo nyingine nzuri tu za afrika mashariki.....hii zuku hii naskia inakuja kwa kasi ila mi binafsi yangu bado naiskilizia kwanza maana tusije fanyiwa kama yale ya GTV!!
Mkuu kwa kukusaidia tu ving'amuzi vilivyosajiliwa kurusha digitale ni makampuni matatu:startimes,ATN(Ting) na kingine cha 3(sikijui) na ving'amuzi vyote hvyo vitaonyesha local channel zote kama free packages so italzimika kununua kinga'amuzi husika kulingana na wewe unavyopenda packages zake za kulipia!
Kwa Ting walisema sehemu yeyote ulipo utapata matangazo yao,kama hauwezi kutumia king'amuzi chao kupata matangazo basi kuna dish watakufungia kupata matangazo
Kazi ni kwako.
Nilisikia tangazo kwamba wenye tv za kisasa watapata matangazo pasipo kuwa na kingamuzi vip hiyo imekaaje?