Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,365
- 12,351
Mzee kumbe na mimi nisinunue DsTv . Man nipo kwenye mpango wa kununua hapa, Mana sina uwezo wa kununua kila mwezi hicho kifurushi neno mambo yanakwendaje uko DstvHawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia DSTV mwaka wa nne sasa na sijawahi kupata shida yoyote, kwangu nawarate Dstv kama king'amuzi bora kabisa.
World of champions
Hata wewe nipe mrejesho full kuhusu DstvInategemea na tatizo la king’amuzi chako
Ving’amuzi vingi sana kuna muda vinaexpire
Dstv tatizo lao lipo kwenye kulipia tu’ kifurushi kikiisha ukakaa muda kuja kulipia tena hakuna auto channel updates mpaka uwapigie simu mara toa kadi mara sijui weka namba gani Sijui
Vinasumbua sana ila naona atleast dstv is the best
Hakuna mpinzani wa DStv labda ushindwe gharama zake. Hii ya mtoa mada sio experience ya kila mtu kuhusu DStv. It's an isolated incidentMzee kumbe na mimi nisinunue DsTv . Man nipo kwenye mpango wa kununua hapa, Mana sina uwezo wa kununua kila mwezi hicho kifurushi neno mambo yanakwendaje uko Dstv
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa mfanyakazi wa Azam, usituzugePole mpendwa mteja wetu nini tatizo lako unaacha kulipia muda mrefu. Ila kama unataka kuhamia azam haina shida safari njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mpinzani wa DStv labda ushindwe gharama zake. Hii ya mtoa mada sio experience ya kila mtu kuhusu DStv. It's an isolated incident
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wezi tu mimi ni mkongwe Dstv nimelipa kabla kama tangazo lao linavyosema ila hyo upgrade hawajafanya na kutuma comments kwenye mitandao yao ya kijamii kama insta wamezuia comments na ndio ilikuwa unapata msaada kwa harakaMkuu hiyo ofa ni kwa wateja wa zamani walio active, na si kwa ajili ya wateja wapya na wasiolipia ving'amuzi vyao kwa muda mrefu - hii ni kwa mujibu wa maelezo yao.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Nenda ofisi zao pale raundi about ya samaki next to jengo la tanescoHawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni marudio tu ya movies ,yani zile documentaries za ajali za ndege nazijua zote mpaka nimekuwa mtaalam kama wale NTSB [emoji23] [emoji23]Mzee kumbe na mimi nisinunue DsTv . Man nipo kwenye mpango wa kununua hapa, Mana sina uwezo wa kununua kila mwezi hicho kifurushi neno mambo yanakwendaje uko Dstv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna lazima ninunue DstvHuku ni marudio tu ya movies ,yani zile documentaries za ajali za ndege nazijua zote mpaka nimekuwa mtaalam kama wale NTSB [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Series mpya ya Air crash investigation imeanza. Sasa hivi ni episode kama ya tatu. Thursday at 2100Huku ni marudio tu ya movies ,yani zile documentaries za ajali za ndege nazijua zote mpaka nimekuwa mtaalam kama wale NTSB [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mbali na mpira hiki ni moja kati ya vipindi vinavyonifanya nisiache kulipia kifurushi changu cha Dstv.Series mpya ya Air crash investigation imeanza. Sasa hivi ni episode kama ya tatu. Thursday at 2100
Kama mimi, ila kuna vitu vingi sana vya kuelimisha DSTVAisee mbali na mpira hiki ni moja kati ya vipindi vinavyonifanya nisiache kulipia kifurushi changu cha Dstv.
World of Champions