upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,526
Pole bro,hii nchi hii kha!Nenda Daslamu upeleke hicho kidude..Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo shida ya kununua ving'amuzi siku za promosheni. Unaangukia king'amuzi kisa kuna ofa then muda ukiisha unatakiwa sasa uanze kulipia bei halisi unashindwa unakitelekeza. Wakikizima unakuja jf kulia. Mzee baba tumlaumu aliezima mtambo wa analojia maana king'amuzi chochote hata huko azam unakoenda watahitaji tu ulipie hamna njia ya mkato
Unawapigia tu simu then unawatajia card number afu wanarekebisha huna hata haja ya kutoka baada ya mda ile E-16 inatoka simple tu
Hivi ni bei gani kubadilisha decorder maana changu kina shida ikitokea umeme umekatika ukarudi basi kitascan weeeee 0 0 0 0Hapo Mwanza kuna ofisi zao na wanatoa huduma vizuri nenda pale maeneo ya Samaki ulizia ofisi zao utapewa huduma vizuri mimi nilishafika hapo zaidi ya mara mbili nilibadilishiwa king'amzi kilikua na shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ile message ya E-16 error hua kuna maelezo ya jinsi ya kuiondoa,sasa ukifata Yale maelezo kuna namba ya simu utatumiwa kwa njia ya text ,sasa utaweza wapigia
Kwa hiyo mkuu ukiwa unalipa kwa wakati hayo matatizo hayapo? Basi kama ni hivyo tii amri bila shurti hutajuta!Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni bei gani kubadilisha decorder maana changu kina shida ikitokea umeme umekatika ukarudi basi kitascan weeeee 0 0 0 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ile message ya E-16 error hua kuna maelezo ya jinsi ya kuiondoa,sasa ukifata Yale maelezo kuna namba ya simu utatumiwa kwa njia ya text ,sasa utaweza wapigia
Na mimi kilianza hivyo hivyo, inaweza scan weeeee mpaka niipige pige ndo inaanza kujaza package
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimetumia dstv tangu 2006 nshanunua vitatu hadi sasa ila kimebaki kimoja tu, na hiko kimoja nishawahi kukipeleka osterbay ofisini kwao wakanilipisha dola 25 kubadilisha kifaa mule, wapumbavu sana, mi mbona naenda azam, sijaona kule watu wakilalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu nihame startimes mwaka 2013, sijawahi jutia kuwa na DSTVNatumia DSTV mwaka wa nne sasa na sijawahi kupata shida yoyote, kwangu nawarate Dstv kama king'amuzi bora kabisa.
World of champions
Nina Dstv na Azam, nakuhakikishia bora kumiliki Azam kuliko Dstv haswa kama si mpenzi wa EPL.Bado TCRA hawa na Mitandao ya cm vimewashinda
Azam unayo izungumzia ingia uone majanga yake
Nyumba usio lala...
Acha uongo wewe...Dstv bila hata EPL bado Azam hasogei karibu..Nina Dstv na Azam, nakuhakikishia bora kumiliki Azam kuliko Dstv haswa kama si mpenzi wa EPL.
Tofauti kubwa kati ya Dstv na Azam ni ligi kuu ya England tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, umeshinda.Acha uongo wewe...Dstv bila hata EPL bado Azam hasogei karibu..
Mimi huu mwaka wa 15 sijawahi kupata usumbufu wowote. Mtoa mada nadhani amerukia kitu ambacho hana uwezo nacho ukilipa kwa wakati huwezi pata usumbufuNatumia DSTV mwaka wa nne sasa na sijawahi kupata shida yoyote, kwangu nawarate Dstv kama king'amuzi bora kabisa.
World of champions
Hiyo offer ya kifurushi cha juu ukipewa utaangalia kwa mwezi mmoja? Baada ya huo mwezi mmoja unarudishwa automatically kwenye kifurushi chako cha zamani?Sema kuna ofa wametoa ya kijanja sana ukilipa kuanzia tarehe 15 mwez wa kwanza unapanda kifurushi cha juu yake ni ukajanja had mudaa huu kwangu hola