DSTV na Watangazaji feki wa kombe la Dunia!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,760
Reaction score
3,270
Kuna kampeni ya kutumia Lugha zetu za kiafrika katika kuwasilisha Matangazo ya Mpira Mashindano ya kombe la Dunia.

Hawa Watangazaji ni Vishoka,hawana umahili wa kuwafahamu Wachezaji na kutangaza mpira! Wajanjawajanja tu Wanasoma historia za matukio ya timu na Wachezaji! Hakika wanaondoa radha ya kuangalia mpira.

Watanzania wenzangu sio kila kandarasi ukubali,kwaajiri ya njaa au jina ulilopata kwenye Radio Yako kutangaza vipindi vya michezo au majadiliano.havikufanyi wewe uwe mtangaza mpira! Ni Kazi za watu wenye vipawa hivyo!

DSTV safari nyingine,Tafuta watu wenye weredi na kutangaza mipira sio Hawa vilaza! Am very much disappointed with you guys! We don't receive value for our money with these useless local football commentators.
 
Ezekekeil Mwalongo & Suedi Mwinyi walikuwa wapo vizuri .
 
WE UMEJARIBU KUTANGAZA?UNADHANI NI RAHISI?WAACHE WATUPE HABARI,SI LAZIMA WAKUFURAHISHE WEWE.
 
Dstv haiwatambui wanaotumia Lugha zenu kutangaza mpira wao kigezo chao na Cv yao ni ushawahi kuwa mchezaji wapi ndio uchambue mpira wao kama wakina Kalusha Bwalya,Okocha na wengineo kuhusu watangazaji wale wanaotangaza English ni bora sana ndio hao tunawasikiliza hata UEFA huko shida labda huko wamelazimisha kutangaza mpira wanaoangalia kwenye Tv ambayo matangazo yake lazima yatachelewa hata kwa sekunde 3 mpaka 5...
 
Kuna kampeni ya kutumia Lugha zetu za kiafrika katika kuwasilisha Matangazo ya Mpira Mashindano ya kombe la Dunia.

Hawa Watangazaji ni Vishoka,hawana umahili wa kuwafahamu Wachezaji na kutangaza mpira! Wajanjawajanja tu Wanasoma historia za matukio ya timu na Wachezaji! Hakika wanaondoa radha ya kuangalia mpira.

Watanzania wenzangu sio kila kandarasi ukubali,kwaajiri ya njaa au jina ulilopata kwenye Radio Yako kutangaza vipindi vya michezo au majadiliano.havikufanyi wewe uwe mtangaza mpira! Ni Kazi za watu wenye vipawa hivyo!

DSTV safari nyingine,Tafuta watu wenye weredi na kutangaza mipira sio Hawa vilaza! Am very much disappointed with you guys! We don't receive value for our money with these useless local football commentators.
Eti Oscar Oscar anatangaza Kombe la Dunia?? Au nimesikia vibaya????
 
Back
Top Bottom